Huyu ni mdau mmoja wapo katika ya wengi waliokuwepo. "Hii inaitwa starter, yeah its just a starter. Unaijua starter wewe? Join me next time and am gona show you what a starter is!" hivyo ndivyo anavyokwambia mdau hapo juu, so if you really wanna know what a starter is then you better join him next time.
"...don't even dare touch it..." looks like this is what he is about to tell ya.
"aah kama vipi we jicheki tu..."
"Nini sasa? Maisha si ndo haya!!!" hivi ndivyo mdau pichani anavyokwambia wewe, na mimi naongezea hapo "...kama vipi jikatae tu"
Tehe, tehe, tehe mdau wa kublogua nae hakuwa nyuma hapa akifanya vitu vyake vya mambo fulani we mwenyewe si unaona kitu motooooooo kinang'aa tu, unfanya mchezo? Kwenye vitu kama hivi camera unaweka pembeni.
Tuesday, April 6, 2010
NI NDAFU TU KWA KWENDA MBELE
Hivi ndivyo ilivyokuwa Pasaka huko Sanya China, wadau busy sana tuuu. Ni back bandua kwenda mbele.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment