Search This Blog

Thursday, April 22, 2010

NANI NABII WA KWELI?

Nchini Tanzania kumekuwa kukiibuka makanisa kila siku! Na kila kanisa linahubiri injili kama ilivyoandikwa kwenye biblia. Lakini swali ni moja, Je, ni kanisa gani linahubiri kweli? Kweli inayosemwa kwenye biblia ndio kweli inayohubiriwa hapa?

Kazi kwenu wadau hapo chini tunae Nabii Mwingira, Mchungaji Rwakatare (MB), Mchungaji Gwajima, Askofu Kakobe, Mtume Onesmo na Askofu Valentino Mokiwa.

Mdau wewe uko wapi hapa?


No comments:

Post a Comment