Search This Blog

Thursday, April 29, 2010

TIGO

Mtandao unaosemekana kuwa na wateja wengi zaidi kuliko yote nchini Tanzania na ambao unatumiwa zaidi na wanafunzi kuanzia ngazi ya Primary School (kwa wale wenye simu za mikononi), Secondary mpaka Vyuoni nao haukubaki nyuma wakati mitandao mingine inatangaza shilingi moja kwa sekunde wao wamekuja na thumni. Unaambiwa ongea sekunde moja kwa thumni na kwamba thumni imerudi thamani kama zamani wadau.

Kama kawa mdau wa kublogua na kamera mkononi maeneo ya Mwenge aliwakuta vijana wakiitangaza thumni kwa staili ya kipekee kabisa pichani hapo chini.
Mdau akipewa big up hapo

Sio alama za barabarani ni tangazo la thumni kwa sekunde toka mtandao wa tigo.


No comments:

Post a Comment