Search This Blog

Saturday, March 13, 2010

OFISI ZA ZAIN

Kampuni ya simu ya Zain (Tanzania) imefungua ofisi zake mpya zilizoko barabara ya Ali Hassan Mwinyi maeneo ya Morocco. Mjengo huo kama unavyoonekana pichani ni babkubwa. Ukiangalia vizuri hiyo picha hapo juu utaona kuwa hiyo floor ya kwanza tayari imeshaanza kufanya kazi na wafanyakazi wanaendelea kufanya shughuli zao.

Kampuni hii ya Zain ina ofisi pia zingine ambazo ziko maeneo ya Sayansi katika jengo lao la ZAIN HOUSE.

No comments:

Post a Comment