Search This Blog

Thursday, April 29, 2010

ZANTEL

Style is my heartbeat. Find your rhythm.

This is a Zantel add from Zantel as it has been maounted at the Drive inn bus stop near Zantel's Hq beside the American Embassy.

TIGO

Mtandao unaosemekana kuwa na wateja wengi zaidi kuliko yote nchini Tanzania na ambao unatumiwa zaidi na wanafunzi kuanzia ngazi ya Primary School (kwa wale wenye simu za mikononi), Secondary mpaka Vyuoni nao haukubaki nyuma wakati mitandao mingine inatangaza shilingi moja kwa sekunde wao wamekuja na thumni. Unaambiwa ongea sekunde moja kwa thumni na kwamba thumni imerudi thamani kama zamani wadau.

Kama kawa mdau wa kublogua na kamera mkononi maeneo ya Mwenge aliwakuta vijana wakiitangaza thumni kwa staili ya kipekee kabisa pichani hapo chini.
Mdau akipewa big up hapo

Sio alama za barabarani ni tangazo la thumni kwa sekunde toka mtandao wa tigo.


ZAIN

Mtandao wa Zain ukiwa katika kampeni zake za kuhamasisha watanzania kununua laini zao na kuongea kwa shilingi moja kwa sekunde kama ilivyokutwa na mwandishi wetu katika picha hapo chini.

Pichani juu vijana wa Zain wakiwa maeneo ya Morocco very busy kutangaza uhuru wa kuongea kwa shilingi moja kwa sekunde moja.

Friday, April 23, 2010

WANAFUNZI - HATARI!!!

Pichani ni wanafunzi wa shule iliyopo jijini Dar Es Salaam wakiruka ukuta kama walivyokutwa na mdau maeneo ya shaurimoyo.


Thursday, April 22, 2010

NANI NABII WA KWELI?

Nchini Tanzania kumekuwa kukiibuka makanisa kila siku! Na kila kanisa linahubiri injili kama ilivyoandikwa kwenye biblia. Lakini swali ni moja, Je, ni kanisa gani linahubiri kweli? Kweli inayosemwa kwenye biblia ndio kweli inayohubiriwa hapa?

Kazi kwenu wadau hapo chini tunae Nabii Mwingira, Mchungaji Rwakatare (MB), Mchungaji Gwajima, Askofu Kakobe, Mtume Onesmo na Askofu Valentino Mokiwa.

Mdau wewe uko wapi hapa?


SAVIO

SAVIO ni timu ya mpira wa kikapu ya Don Bosco Youth Center - Upanga, ambayo imeshinda kombe la NBL - National Basketball League mwaka huu na kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Zone 5 yatakayofanyika huko Burundi mwezi wa nane kuanzia tarehe 9 hadi 15.

So wale wadau wa mpira wa kikapu muanze kuandaa safari ya kuelekea Burundi mwezi wa nane kushuhudia na kuwapa shavu wana wa SAVIO.


Hawa ni wana wa Savio Basketball Team kuanzia juu kushoto ni Dusa, Raza, Isiaka, Waziri, Abdul, Ally, Dassy, Maige, Jije, Joseph, George, Benard na Muddy. Vijana imara wanaoiwakilisha vizuri timu ya mpira wa kikapu ya SAVIO - the winning team with spirit of togetherness.



Pichani juu hapo SAVIO wakiwa katika mazoezi yao ya kujinoa vilivyo ili kurudi tena na kombe nyumbani hapo baadae mwezi wa nane mwaka huu wanapokwenda Burundi kuiwakilisha Tanzania katika michuano mikali ya basketball.


SAVIO baada ya kupokea kombe la NBL wakiwa na nyuso za furaha kabisa katika picha ya kumbukumbu na Kipingu (Wapili kutoka kulia)


SAVIO wakiwa Barbecue - Upanga.




Tuesday, April 6, 2010

NI NDAFU TU KWA KWENDA MBELE

Hivi ndivyo ilivyokuwa Pasaka huko Sanya China, wadau busy sana tuuu. Ni back bandua kwenda mbele.


Huyu ni mdau mmoja wapo katika ya wengi waliokuwepo. "Hii inaitwa starter, yeah its just a starter. Unaijua starter wewe? Join me next time and am gona show you what a starter is!" hivyo ndivyo anavyokwambia mdau hapo juu, so if you really wanna know what a starter is then you better join him next time.


"...don't even dare touch it..." looks like this is what he is about to tell ya.


"aah kama vipi we jicheki tu..."


"Nini sasa? Maisha si ndo haya!!!" hivi ndivyo mdau pichani anavyokwambia wewe, na mimi naongezea hapo "...kama vipi jikatae tu"



Tehe, tehe, tehe mdau wa kublogua nae hakuwa nyuma hapa akifanya vitu vyake vya mambo fulani we mwenyewe si unaona kitu motooooooo kinang'aa tu, unfanya mchezo? Kwenye vitu kama hivi camera unaweka pembeni.




"Hii inaitwa solo goat" Haya bwana kama na kwenye ndafu pia tuna solo sisi tutaanzisha "penta goat" ili twende bila bila, kama vipi.