Search This Blog

Saturday, March 13, 2010

OFISI ZA ZAIN

Kampuni ya simu ya Zain (Tanzania) imefungua ofisi zake mpya zilizoko barabara ya Ali Hassan Mwinyi maeneo ya Morocco. Mjengo huo kama unavyoonekana pichani ni babkubwa. Ukiangalia vizuri hiyo picha hapo juu utaona kuwa hiyo floor ya kwanza tayari imeshaanza kufanya kazi na wafanyakazi wanaendelea kufanya shughuli zao.

Kampuni hii ya Zain ina ofisi pia zingine ambazo ziko maeneo ya Sayansi katika jengo lao la ZAIN HOUSE.

THE B BAND

Are you a fan of Banana Zoro and The B Band? If yes then you know where we always meet. Incase you don't, its THAI VILLAGE this friday and every friday where happy and party people meet.
Banana Zoro and The B Band, trully i am telling you they worth your time. You will never be dissapointed at the show coz wakikwambia wanafanya show ya kufa mtu ni ya kufa mtu sio mchezo. They know what they are doing, have my words.
Come and meet the B Band fans and connect yourself to the world of happy and party people where this band is.
Meet you at the Thai Village this Friday.

Friday, March 5, 2010

Amani Munisi

Wadau sasa zile news za kutoka Kilimanjaro tutakuwa tunazipata live and direct via mdau junior Amani Munisi juu hapo. Hivi sasa Amani Munisi yupo Mkoa wa Kilimanjaro so stay tuned for Kili news.