Hapa mdau nimetembelea maonyesho ya JWTZ yaliyofanyika Airwing Dar es Salaam, Tanzania. JWTZ walipotangaza kuwa kutakua na maonyesho ya kazi zao huko Airwing mdau nikaamua kujitosa ili nione kodi yangu inatumika vipi kwa JWTZ.
Pichani hapo juu mdau nikiwa mbele ya Kifaru cha JWTZ.
Hapa mdau nipo mbele ya Kifaru cha mawasiliano. Kifaru hiki kazi yake ni kurusha mawasiliano katika eneo la vita na kumfuatilia adui kupitia satelite zake.
Mdau pembeni ya ngao ya UMOJA AIRFORCE COMMAND.
Kwa makini kabisa mdau napata lecture hapa.
Ndani ya boeing la JWTZ.
Mdau najiachia taratibu baada ya ziara fupi huko Airwing JWTZ Dar Es Salaam, Tanzania.
Maelezo zaidi kuhusu JWTZ gonga hapa Jeshi la Wanachi Tanzania
No comments:
Post a Comment