"Tunajivunia mtandao wetu unatupa tunachokihitaji, unatujali na kututunza" Ni maneno hayo kutoka kwa wadau wa mtandao fulani nchini Dar es Salaam, TANZANIA kama walivyokuwa wanakula maraha huko Dar Alive (Malaika House)
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa katika picha huko Dar Alive
Shukuru na Mary pozini
Mdau wa kublogua Divine na Trever wa Dar Alive kutoka visiwa vya SeyChelles
Mdau tena na Trever
Carol, Peter and Grace
"Undugu hazina yetu" it seems like thats what they are saying there. Carol and Grace
Mdau na Carol
Carol, Mdau na wadau wengine nyuma seated
The Dons. Mdau na Hamza
Grace na Cecil
aaah... Mdau kwenye buffet na Grace
Jordan in Green T-shirt with 1tsh per sec mdau wa ukweli akiwa na Lukundo in blue T-shirt kwenye buffet
Bob (Robert) ndani ya shati jeupe katika buffet
Hapa ni Hamza (mwenye miwani), Dina, Nester wakijiachia kwenye buffet
Mzee wa "Nikipata Nauli Nitakuja" Naona hapa alipata nauli na akaja. Swali moja najiuliza "Nani kampa nauli, na atailipaje naye hana kazi?" Master Gerald ndani ya T-shirt nyekundu
Salum, Tausi, Dorice na Abdallah wakipita mbele ya buffet with their plates half full
Nakukubali mtani wa jadi. "...eeh mwili haujengwi kwa matofali wala zege unajengwa na vitu kama hivi, ndio manake unashangaa? Kashangae kwenu." Hayo ndio maneno ya mdau ndani ya T-shirt nyeusi na mistari mieupe Master Shukuru aka mzee wa ngwa.. ngwa.. ngwasuma
Tausi, Salum na Peter pozini
Salum na Bob (Robert)
"Pamoko chali angu, 4ever kama samaki na mma..." Hivi ndivyo mdau anavyomwambia mzee wa ngwasuma Master Shukuru, kwa nyuma hapo Bob akiangalia
Pa.. pa.. pamoja chali yangu. Bob and Mdau wa kublogua
Bob na Mdau
Shukuru na Bob (Robert)
Master Shukuru katika moja ya pozi zake
"Together we make it" Salum na Mdau
Salum na kaka Cecil
The Divas are here. Tausi na Dina
Hapo vipi wadau wenzangu?
Unawajua hawa? Mdau pichani na wadau wa bongo flava
Wajina. Amani na Amani
"...don't try this..." says Jordan
Wadau wakiteta jambo
Mdau pozini na wadau wa bongo flava tena
Salum na wadau wa bongo flava
Tunajivunia mtandao wetu
Unatupa tunachokihitaji "SAWASAWA" tarrif si mchezo tunapiga hatu-beeb
Unatujali na kututunza kama hivi
"...ukuti ukuti
wa meme wa meme..."
Hivi ndivyo wanavyoonekana kuimba hapo juu pichani wadau wa mtandao mkubwa nchini Tanzania
Wadau wa mtandao wakiteta jambo kwa pamoja
Unataka kuujua mtandao wangu? Unataka kuujua mtandao namba moja Tanzania? Unataka kuujua mtandao wa uhakika nchini Tanzania? Unajiuliza ni mtandao gani bora?